WELCOME

Friday, May 2, 2014

This is what you need to know


Sometimes there is no next time, no second chance, no time out. Sometimes it is now or never. Sometimes people will hate you due to how you live and how you do. Sometimes you have to hide your capability and sometimes you have to show them what you're capable of.


Sometimes there is a lot of smile on you, but sometimes you surround yourself with fake friends whose dream to destroy you. But you have to be strong because the supreme power is with you all the time.
Kuna wakati ata uwe mzuri vipi lakini watu watatafuta japo sababu moja tu ya kukuchukia. Lakini pia wakati mwingine ata uwe mbaya vipi watu watakupenda kwa ubaya wako. Human nature is very complex.


Kuna wakati kila unachokifanya watakuepo watu wakukukatisha tamaa, lakini elewa unachokifanya si kwa ajili yao ila ni kwa manufaa yako mwenyewe. Lakini pia kuna wakati kile kidogo ukipatacho watu wengine ukitolea macho na kutaka kukunyakua. Human nature is very complex!


Siku zote uwezi kujua ng'ombe anafaidi vipi utamu wa jani kama wewe sio mbuzi, kondoo au punda.
Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.

Sunday, April 20, 2014

PITIA BUSARA ZA BABU MWINYI HAPA


Hao wanaokudharau leo yawezekana kesho ndio watakaokuheshimu. Na yule anaekukatisha tamaa leo yawezekana kesho ndio atakaeshangaa na kutaka kujua umetoka vipi.

 Siku zote maamuzi yako ya sasa ndiyo matokeo ya baadae, amua vyema upate chema.

 Yeyote atakaye samehewa kidogo upenda kidogo.

 Siku zote mkubwa hana sheria ila anautaratibu tu ambao wachini yake wanaufata.

 Usipokuwa tayali kupigania kile unachokitaka basi elewa kile usichokitaka kitajitokeza.

 If a door closes today, know that a new one and most likely better one will be there for you to open tomorrow. If it didn't happen, it wasn't meant to be. Let it go and create space for what is. We don't grow when things are easy we grow when we face challenges.

 When you are down to nothing, God is up to something.

 If you didn't see it with your own eyes or hear it with your own ears, don't invent it with your small mind and share it with your big mouth.

 Stop worrying about someone that isn't worried about you. Never leave your key of happiness in someone else's pocket.

 It's so easy for people to believe the worst about you but it's so hard for people to believe the good about you.

 The only thing that stands between you and what you want out of life is the will to try and faith to believe it's possible.


Give thanks for what you are now, and keep fighting for what you want to be tomorrow.

 Inawezekana kujenga nyumba ya tope juu ya msingi wa zege lakini si nyumba ya zege juu ya msingi wa tope.

 Si kwa uwezo wako kile ulichonacho, wala si kwa uzuri wako au elimu uliyonayo. Bali ni kwa neema ya Mwenyenzi Mungu muumba wa vyote mwenye kuneemesha neema ndogo ndogo na neema kubwa kubwa.

 Sometimes you got to be your own hero and save your own heart because sometimes the people you can't live without can live without you.

 Siku zote mafanikio yapo ila kwa alietayali kuyafata. 

 Mungu anaijua vizuri kesho yetu kuliko sisi tulivyoijua jana.

 Unapoanza kujenga msingi uliombovu usitegemee kupata nyumba iliyobora. 

 People are going to talk, whether you're doing bad or good. Worry about yourself before you worry about what others think.

 Hakuna marefu yasiyo na ncha. Ata jana ilikuwa leo na leo ilikuwa kesho kabla ya leo.

 Ni bora kutanguliza macho na masikio kuliko kutanguliza mdomo.

 Don't say,"God, I have a big problem!" say,"Problem, I have a big GOD!

 Asante kwa kutembelea The Land Of Quotation kutoka kwa Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.

Monday, March 10, 2014

Neno Langu La Leo


 Inawezekana uwepo wako ukawa njia mojawapo ya mtu mwingine kufanikiwa, hivyo usiwe na roho ya kwanini maana yule ambaye nae ni njia mojawapo katika kufanikiwa kwako akiwa na roho ya kwanini you will take a long time to reach in your destine. I would like to take this opportunity to say thank you kwa wale wote walio nami bega kwa bega. Welcome to my page and get various entertainment and events. Show some love to click LIKE button on my facebook page. And if possible invite your friends too to like my facebook page so that we can enjoy together. Me and you we're on the truck yet on the destine, but soon or latter we'll going to be there.
Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.

Thursday, February 6, 2014

Mrembo wetu wa leo na ujumbe wa mapenzi.





Don't love a friend like flower because a flower dies in a season, love them like a rive because a river flows forever. Its time when people you love should know that you love them, its time when people you miss should know that you miss them. That is why I keep on saying I love and miss you all the time.

Life ends when you stop dreaming, hope ends when you stop believing. Love ends when you stop caring, so dream hope and love make life beautiful.

Kuwa mrembo wetu wa siku kwa kueditiwa picha yako nasi, unangoja nini?! ifanye Valentine kuwa special kwa yule umpendae.


Thank you for visit my blog, please click HERE to like my facebook page for more updates.

Thursday, January 30, 2014

Maneno Yangu Machache Siku Ya Leo.


Unaweza kufika mahala ukajiuliza why me? Why everything bad happen to me? You have to be strong because everything in this Planet has its purpose. Bare in your mind that God have good intend to everyone regardless of our differences, He love us all. This isn't a right time to feel of sorrow, repentance or disappointment but it is the right time to make it happen. Don't fed up for something good, but fed up for something bad. Kuna usemi usemao "kama ipo basi ipo tu", huo ndiyo ushupavu na wala usitawaliwe na ule usemi usemao "Mungu ajapanga" maana mpangaji ni wewe, usiseme Mungu nisaidie huku ukiwa umekaa sema Mungu nisaidie huku ukiwa umesimama na kuchakarika.

Cha kushangaza pale unapochakarika na kujituma katika maisha yako wapo watu ambao hawapendi kuona unafanikiwa kwa njia moja au nyingine. Ndiyo kwanza wanakuwa kikwazo cha wewe kuweza kusonga mbele. Nimekuwa nikijiuliza why human being change to be an animal? Maana wanafanya mambo mabaya kwa wenzao ambayo yanaleta ukakasi kwa wenye imani mbele ya Mungu.


Leo hii kuna mtu kutokana na roho yake mbaya na ufinyu wa fikra pevu anautumia muda wake kwa kunitumia massage za matusi, kunitusi mimi, blog yangu pamoja na wazazi wangu. Sijui ni nini kinachomuumiza anapoiona blog hii?! Masikini leo hii kijana wa watu ninayependa kuwajuza mambo mbalimbali na kuwapa burudani ya aina yake nawekewa kinyongo. Sishangai sana maana watu wenye roho za kutu walikuwepo toka zamani zama na zama. Watu wanaopenda wao tu waendelee na wengine wawe nyuma yao.


Naimani lengo lake ni kunikatisha tamaa, kwa hilo hatofanikiwa maana mimi siyo mtu wa kukata tamaa kiraisi raisi. I'm a man of principal who know what I do, najua ataendelea kuumia maana huu siyo mwisho wa MWINYI BLOG huu ni mwanzo tu. You don't know what you mess with and you don't know what I'm capable of. Only you know me by name but you don't know me in details. If you think you know me you're absolutely mistaken. Wadau wangu wa MWINYI BLOG huyu mtu ananipa hasira sana anaingiza na mambo ya ushirikina ndani yake. Anajidanganya kwa kujua kuwa simjui. Namshukuru kwa ujinga wake ulionifanya mpaka nijifunze kitu.


Mungu yu pamoja nami na yu pamoja naye pia, namuombea uhai mrefu ili azidi kuumia. Na kwa wale ambao blog hii inawakwaza kwa namna moja au nyingine I'm sorry you can't change me but you can change yourself by find the way to be comfortable.


Your sincere,