WELCOME

Thursday, January 30, 2014

Maneno Yangu Machache Siku Ya Leo.


Unaweza kufika mahala ukajiuliza why me? Why everything bad happen to me? You have to be strong because everything in this Planet has its purpose. Bare in your mind that God have good intend to everyone regardless of our differences, He love us all. This isn't a right time to feel of sorrow, repentance or disappointment but it is the right time to make it happen. Don't fed up for something good, but fed up for something bad. Kuna usemi usemao "kama ipo basi ipo tu", huo ndiyo ushupavu na wala usitawaliwe na ule usemi usemao "Mungu ajapanga" maana mpangaji ni wewe, usiseme Mungu nisaidie huku ukiwa umekaa sema Mungu nisaidie huku ukiwa umesimama na kuchakarika.

Cha kushangaza pale unapochakarika na kujituma katika maisha yako wapo watu ambao hawapendi kuona unafanikiwa kwa njia moja au nyingine. Ndiyo kwanza wanakuwa kikwazo cha wewe kuweza kusonga mbele. Nimekuwa nikijiuliza why human being change to be an animal? Maana wanafanya mambo mabaya kwa wenzao ambayo yanaleta ukakasi kwa wenye imani mbele ya Mungu.


Leo hii kuna mtu kutokana na roho yake mbaya na ufinyu wa fikra pevu anautumia muda wake kwa kunitumia massage za matusi, kunitusi mimi, blog yangu pamoja na wazazi wangu. Sijui ni nini kinachomuumiza anapoiona blog hii?! Masikini leo hii kijana wa watu ninayependa kuwajuza mambo mbalimbali na kuwapa burudani ya aina yake nawekewa kinyongo. Sishangai sana maana watu wenye roho za kutu walikuwepo toka zamani zama na zama. Watu wanaopenda wao tu waendelee na wengine wawe nyuma yao.


Naimani lengo lake ni kunikatisha tamaa, kwa hilo hatofanikiwa maana mimi siyo mtu wa kukata tamaa kiraisi raisi. I'm a man of principal who know what I do, najua ataendelea kuumia maana huu siyo mwisho wa MWINYI BLOG huu ni mwanzo tu. You don't know what you mess with and you don't know what I'm capable of. Only you know me by name but you don't know me in details. If you think you know me you're absolutely mistaken. Wadau wangu wa MWINYI BLOG huyu mtu ananipa hasira sana anaingiza na mambo ya ushirikina ndani yake. Anajidanganya kwa kujua kuwa simjui. Namshukuru kwa ujinga wake ulionifanya mpaka nijifunze kitu.


Mungu yu pamoja nami na yu pamoja naye pia, namuombea uhai mrefu ili azidi kuumia. Na kwa wale ambao blog hii inawakwaza kwa namna moja au nyingine I'm sorry you can't change me but you can change yourself by find the way to be comfortable.


Your sincere,