WELCOME

Friday, May 2, 2014

This is what you need to know


Sometimes there is no next time, no second chance, no time out. Sometimes it is now or never. Sometimes people will hate you due to how you live and how you do. Sometimes you have to hide your capability and sometimes you have to show them what you're capable of.


Sometimes there is a lot of smile on you, but sometimes you surround yourself with fake friends whose dream to destroy you. But you have to be strong because the supreme power is with you all the time.
Kuna wakati ata uwe mzuri vipi lakini watu watatafuta japo sababu moja tu ya kukuchukia. Lakini pia wakati mwingine ata uwe mbaya vipi watu watakupenda kwa ubaya wako. Human nature is very complex.


Kuna wakati kila unachokifanya watakuepo watu wakukukatisha tamaa, lakini elewa unachokifanya si kwa ajili yao ila ni kwa manufaa yako mwenyewe. Lakini pia kuna wakati kile kidogo ukipatacho watu wengine ukitolea macho na kutaka kukunyakua. Human nature is very complex!


Siku zote uwezi kujua ng'ombe anafaidi vipi utamu wa jani kama wewe sio mbuzi, kondoo au punda.
Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.